Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM), Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na kuzungumza jambo na
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe,
Dkt. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, baada ya ibada ya kuwekwa wakfu
(kukaribishwa kazini) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa kuwa Mkuu Mpya wa KKKT,
ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
alikuwa mgeni maalum, iliyofanyika Jumapili, Januari 21, 2023, katika Kanisa la
Azania Front, jijini Dar Es Salaam.
DKT. NCHIMBI ASHIRIKI IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU DKT. ALEX GEHAZ MALASUSA
Reviewed by BLOG
on
January 21, 2024
Rating: 5
https://www.youtube.com/@mtazamonewstv2325
ReplyDelete