Breaking News

RAIS DKT . SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 16 Januari, 2024.

No comments