Breaking News

NCHIMBI AAGA MWILI WA MAREHEMU LUTENI JENERALI (MSTAAFU) BALOZI MARTIN NIKUSUBILA MWAKALINDILE LEO LUGALO JIJINI DAR ES SALAM.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akitia saini kitabu cha maombolezo wakati wa kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu Luteni Jenerali (mstaafu) Balozi Martin Nikusubila Mwakalindile, katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo, jijini Dar Es Salaam, Februari 2, 2024.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu Luteni Jenerali (mstaafu) Balozi Martin Nikusubila Mwakalindile, katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo, jijini Dar Es Salaam, 

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi (kushoto) akiwa katika shughuli ya kuuaga mwili wa Luteni Jenerali (mstaafu) Balozi Martin Nikusubila Mwakalindile  iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo, jijini Dar Es Salaam, Ijumaa Februari 2, 2024.

Rais Mstaafu, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob John Mkunda wakati kiongozi huyo alipoongoza waombolezaji wengine kushiriki shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu Luteni Jenerali (mstaafu), Balozi Martin Nikusubila Mwakalindile, iliyofanyika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), leo Ijumaa, Februari 2, 2024. Kulia katika picha ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Stergomena Lawrence Tax na kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi  akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob John Mkunda wakati wa shughuli ya kuuaga mwili wa Luteni Jenerali (mstaafu) Balozi Martin Nikusubila Mwakalindile iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo, jijini Dar Es Salaam, Ijumaa Februari 2, 2024.Kulia katika picha ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Stergomena Lawrence Tax 

 

No comments