WAFANYABIASHARA ZANZIBAR WAMKABIDHI RAIS SAMIA HUNDI YA SH.MILIONI 500 KUSAIDIA TIMU ZA TAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi milioni 500 kwa ajili
ya Mashindano yanayohusu Timu za Taifa za Tanzania kutoka kwa Mfanyabiashara
Said Naseer Naseer kwa niaba ya Wafanyabiashara wenzake kutoka Zanzibar.
Shughuli hii imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Aprili 4, 2024.

No comments