MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA RASMI YA KIKAZI YA RAIS SAMIA , JIJINI SEOUL
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe.
Yoon Suk Yeol mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Shilla ambapo Rais Mhe.
Yoon aliwaandalia Viongozi Wakuu Wanaoshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Korea
na Afrika Dhifa ya Chakula cha jioni tarehe 03 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. nsi ya Anga (Korean
Aerospace University) ambapo alitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kwenye
Sekta ya Anga (Honoris Causa) Jijini Seoul tarehe 03 June, 2024Samia Suluhu Hassan akiwa katika Chuo Kikuu cha Saya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Wageni mbalimbali, Wahadhiri pamoja na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya
Anga (Korean Aerospace University) mara baada ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa
wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) na Chuo hicho Jijini Seoul
Jamhuri ya Korea tarehe 03 Jun1, 2024
Baadhi
ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace
University) pamoja na Wageni mbalimbali wakipiga makofi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
kutunukiwa Udaktari
wa Falsafa wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) na Chuo hicho Jijini
Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni, 2024
Rais wa Chuo
Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Profesa Hee Young Hurr
akiwa pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chuo hicho wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa
akihutubia Chuoni hapo Jijini Seoul,
Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza
Mfanyakazi wa Ndege kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace
University) Sang bin Jeon aliyekuwa akielezea kuhusu sehemu mbalimbali za Ndege
aina ya Airbus A300-600R ambayo ipo kwa ajili ya Maonesho na mafunzo kwa
Wanafunzi katika Chuo hicho Jijini Seoul tarehe 03 Juni, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Mfanyakazi wa Ndege kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace
University) Sang bin Jeon wa pili kutoka
(kushoto) aliyekuwa akielezea kuhusu sehemu mbalimbali za Ndege aina ya Airbus
A300-600R ambayo ipo kwa ajili ya Maonesho na mafunzo kwa Wanafunzi katika Chuo
hicho Jijini Seoul tarehe 03 Juni, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Mfanyakazi wa Ndege kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace
University) Jay Woong Park wakati akikagua sehemu mbalimbali ya Ndege aina ya
Airbus A300-600R ambayo ipo Chuoni hapo kwa ajili ya Maonesho na mafunzo kwa
Wanafunzi hicho Jijini Seoul tarehe 03 Juni, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia sehemu mbalimbali za Ndege aina ya Airbus
A300-600R ambayo ipo katika Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace
University) kwa ajili ya Maonesho na mafunzo kwa Wanafunzi, Seoul tarehe 03 Juni, 2024
Matukio mbalimbali wakati wa hafla ambayo Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitunukiwa Udaktari
wa Falsafa wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha
Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe
03 Juni1, 2024
No comments