Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) akizungumza na baadhi ya wadau mara baada ya ufunguzi rasmi wa 29 wa Nchi wa Wananchama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) katika Ukumbi wa Nizami uliopo katika viwanja vya Olympus Park, mjini Baku Jamhuri ya Azerbaijan, uliofunguliwa leo Novemba 11, 2024 na kutarajiwa kuhitimishwa Novemba 22, 2024. Kushoto ni akiwa Mkurugenzi Msaidizi wa Mabadiliko ya Tabianchi na Tathimini Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Kanizio Manyika.
Mkutano ukiendelea
KATIBU MKUU LUHEMEJA AKISHIRIKI MKUTANO WA COP29
Reviewed by BLOG
on
November 11, 2024
Rating: 5
No comments