WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KONGAMANO LA JUMUIYA YA WAISLAMU WA SHIA

Kongamano hilo linaloratibiwa na Jumuiya ya Waislamu wa SHIA Tanzania, linafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Taswira ya kongamano hiloKongamano hilo likiendelea
Wanawake wa Kiislamu wakishiriki kongamano hilo.
Kongamano hilo likiendelea.
Wanawake wa kiislamu wakiwa kwenye kongamano hilo.
No comments