Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza
kitambaa kuashiria ufunguzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye
urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo
la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025. Daraja hilo ambalo ni
sehemu ya barabara ya Usagara-Sengerema-Geita ni sehemu ya barabara kuu inayoanzia
Sirari hadi Mtukula na ujenzi wake ulianza rasmi mwezi Februari, 2020.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe
kuashiria ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km
3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Kigongo,
Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025. Daraja hilo ambalo ni sehemu ya
barabara ya Usagara-Sengerema-Geita ni sehemu ya barabara kuu inayoanzia Sirari
hadi Mtukula na ujenzi wake ulianza rasmi mwezi Februari, 2020.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Daraja la JP
Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3 pamoja na barabara unganishi
zenye urefu wa km 1.66 mara baada ya ufunguzi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni,
2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza
taarifa ya ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0
pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 iliyotolewa kwa njia ya
Makala ya video darajani hapo tarehe 19 Juni, 2025.
\Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipunga bendera kuashiria
kuanza kutumika rasmi kwa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa
km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 mkoani Mwanza.
No comments