Breaking News

RAIS SAMIA AKIWAHUTUBIA WANANCHI wa BARIADI MKOANI SIMIYU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Bariadi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Stendi ya zamani Bariadi mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.

Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Joketi Mwegelo akiwa kwenye mkutano huo.
Viongozi wa dini wakiwa kwenye mkutano huo
Rais Samia akiwa kwenye mkutano huo.
Shamrashamra za wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe

Shamrashamra zikiendelea katika mkutano huo.

shamra shamra zikiendelea.

No comments