RAIS SAMIA AZINDUA CHANJO YA UTAMBUZI WA MIFUGO MKOANI SIMIYU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Mpango wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo kitaifa kwa mwaka 2024/2025- 2028-2029 katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya heshima na
shukrani kutoka kwa Mwenyekiti wa wafugaji Ndugu Mrida Mshote mara baada ya
kuzindua Mpango wa Miaka Mitano wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika viwanja
vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Tuzo ya heshima baada ya kukabidhiwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Tuzo ya heshima baada ya kukabidhiwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Tuzo ya heshima baada ya kukabidhiwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akihutubia viongozi mbalimbali, wafugaji pamoja na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
No comments