RAIS SAMIA AZINDUA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE DODOMA
Rais Mhe. Dkt.
Samia
Suluhu Hassan azindua
Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi
wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi
mbalimbali kwenye hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 iliyofanyika
katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma
tarehe 17 Julai, 2025.
Viongozi pamoja na
wageni mbalimbali wakiwa kwenye kwenye hafla ya uzinduzi
wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 iliyofanyika katika ukumbi
wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja
na wageni mbalimbali kabla ya kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai,
2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha nakala za vitabu vya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha nakala za vitabu vya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
No comments