Breaking News

DKT. MIGIRO AFANYA KIKAO KAZI NA KAMATI YA SIASA MKOA WA RUVUMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, leo amekutana na Kamati za Siasa za Mkoa wa Ruvuma mjini Songea mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Katika kikao kazi hicho, Katibu Mkuu Migiro alipokea na kujadili  taarifa ya hali ya kampeni katika Mkoa wa Ruvuma, akisisitiza mshikamo, mshikizo na juhudi za pamoja za kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa wagombea wote wa CCM katika uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025.

Kikao hicho kikifanyika
Kikao kikiendelea
Wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Ruvuma wakiwa kwenye kikao hicho.
Kikao kikifanyika.
Taswira ya kikao hicho.

No comments