Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Mbinga kwa ajili ya kuzungumza na wananchi
wa wilaya hiyo katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Ruvuma
tarehe 21 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbinga katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Ruvuma tarehe 21 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara
wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Mbinga mkoani
Ruvuma tarehe 21 Septemba, 2025. Mgombea Ubunge Jimbo la Mbinga Vijijini Wakili Judith Kapinga, akizungumza kwenye mkutano huo.
Sehemu ya wananchi wa Mbinga mkoani Ruvuma
waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) tarehe 21 Septemba, 2025.
Shamra shamra za wananchi wa Mbinga mkoani
Ruvuma ambao waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 21 Septemba, 2025.

No comments