MGOMBEA NAFASI YA URAIS WA CCM DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MBALIZI JIJINI MBEYA
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Mbalizi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.
Wananchi wa Mbalizi Jijini Mbeya wakiwa kwenye shamra shamra za kumpokea Dkt. Samia.
Shamra shamra za wananchi wa Mbalizi mara baada ya Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili Mbeya Vijijini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akiwa katika mkutano huo.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbalizi katika muendelezo
wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba,
2025.
Shamrashamra zikiendelea.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea nafasi ya ubunge Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Suma Fyandomo.
Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara
wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Mbalizi
mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.
No comments