Breaking News

MGOMBEA URAIS CCM DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MWANZA UWANJA WA NYAMAGANA


Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Mwanza katika uwanja wa Nyamagana
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa,Dkt. Samia Suluhu akiwasili Uwanja wa Nyamagala jijini Mwanza kuzungumza na Wananchi.
Taswira ya mkutano huo.
Matukio mbalimbali katika mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.




Matukio yakiendelea.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi ilani ya uchaguzi kwa wagombea.

No comments