Breaking News

COMRADE NEBU MALEKELA KUTOA MADA KUHUSU SIASA NA UCHUMI

Comrade Nebu Malekela kupitia Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dodoma Tawi la Cive kesho Januari 3, 2026 anatarajia kutoa mada itakayohusu Siasa na Uchumi.

........................................

Na Dotto Mwaibale, Dodoma

COMRADE Nebu Malekela kupitia Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dodoma Tawi la Cive kesho Januari 3, 2026 anatarajia kutoa mada itakayohusu Siasa na Uchumi.

Mada hiyo pia itapambanua Misingi ya Maendeleo ya Taifa ambayo itafanyika Ukumbi wa LRB 003 D Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Vijana wote wa Seneti ya Vyuo na Vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma mnaalikwa kushiriki somo hilo la itikadi ambalo ni la muhimu sana, 

No comments