Breaking News

MAKAMU WA RAIS DKT.PHILIP MPANGO ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA UCHUMI DUNIANI (WEF) NCHINI USWISI

Picha mbalimbali zikimuonesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) unaofanyika Davos nchini Uswisi, Januari 16, 2024.






 

No comments