Breaking News

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ASHUHUDIA UTIAJI WA SAINI MAKUBALIANO YA KUFANYA KAZI NA MoU KATI YA MFUKO WA WCF NA ZSSF

Utiaji wa saini ukifanyika

..................................

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akishuhudia utiaji wa saini ya makubaliano ya kufanya kazi kwa ushirikiano(MoU) kati ya Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi (WCF) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) katika ufunguzi wa Kiakao kazi kilichofanyika Ukumbi wa Hotel ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR) 

No comments