Breaking News

MAKAMU WA RAIS PHILIP MPANGO AKIWA NA MWANA ANTHROPOLOJIA ALIYE TAFITI MAISHA YA SOKWE GOMBE MKOANI KIGOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Mwana Anthropolojia na Mwana Primatolojia aliyetafiti kuhusu Maisha ya Sokwe katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe mkoani Kigoma Bi. Jane Goodall wakati wa ufunguzi wa Barabara iliyopewa jina la mtafiti huyo iliyopo Manispaa ya Kigoma tarehe 09 Julai 2024.


 

No comments