RAIS SAMIA ASHIRIKI DUA YA KUWAOMBEA MASHUJAA WA NCHI YETU

"Tunawaombea dua, tunawapa heshima zetu na ahsante kwa uhuru, amani, umoja na utulivu ambao nchi yetu imeendelea kuwa nao. Tutaendelea kufanya kazi ya kuzienzi tunu hizi muhimu kwa ustawi wa Taifa letu." - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndg. Samia Suluhu Hassan.
No comments