Breaking News

WAZIRI MKUU AFANYA KIKAO KAZI NA KAMATI ZA USALAMA ZA MIKOA, WILAYA NA VIONGOZI WA CCM

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza Kikao Kazi na Kamati za Usalama za Mikoa na Wilaya na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa ngazi ya Mikoa.

...............................

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 22, 2024 amefanya Kikao Kazi na Kamati za Usalama za Mikoa na Wilaya na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa ngazi ya Mikoa. Mheshimiwa Majaliwa amefanya kikao hicho kwa njia ya mtandao akiwa Ofisi Ndogo za Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam.

No comments