Breaking News

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS AKUTANA NA WAZIRI KIJAJI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akifanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliyeambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan Juma pamoja na viongozi wengine alipofika ofisini kwake Migombani wakati ziara ya kujitambulisha leo tarehe 02 Agosti, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akijitambulisha kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman wakati wa ziara yake Ofisini kwa Makamu wa Kwanza Migombani, Zanzibar 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akifanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan Juma alipofika ofisini kwake Vuga wakati ziara ya kujitambulisha Zanzibar leo tarehe 02 Agosti, 2024. Wengine ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Salhina Mwita Ameir.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan Juma ofisini kwake Vuga wakati ziara yake ya kujitambulisha. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan Juma na viongozi mbalimbali mara baada ya kikao wakati ziara ya kujitambulisha Zanzibar

No comments