Breaking News

RAIS SAMIA AZINDUA KAMPENI YA TUTUNZNE MVOMERO MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Kampeni ya Tutunzane Mvomero mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024. Kampeni hiyo ina lengo na kuepusha migogoro ya Wakulima na wafugaji pamoja na watumiaji wengine wa ardhi.










 

No comments