Breaking News

RAIS SAMIA AKUTANA NA MWALIMU WAKE ALIYEMFUNDISHA CHUO KIKUU MZUMBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwalimu wake aliyemfundisha Chuo cha IDM Mzumbe (Sasa Chuo Kikuu Mzumbe) Mwl. Sabina Geleja (kulia) na aliyekuwa mwanafunzi mwenzake Dkt. Stella Kinemo mara baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Kampasi mpya ya Chuo Kikuu Mzumbe tarehe 4 Agosti, 2024



 

No comments