Breaking News

MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AKIZUNGUMZA NA MADEREVA WA BAJAJI NA PIKIPIKI JIJINI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na baadhi ya madereva wa bajaji na pikipiki kuhusu usalama barabarani na uhifadhi wa mazingira mara baada ya kufungua Mkutano Maalum wa Viongozi, Wataalamu na Wadau wa Mazingira kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete mkoani Dodoma. Tarehe 09 Septemba 2024.

No comments