RAIS DKT. SAMIA AFUNGA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAKUU WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi kabla ya
kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi hilo
uliofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro
tarehe 17 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka wa
Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakati kilele cha maadhimisho ya
miaka 60 ya Jeshi hilo, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Kitabu cha Picha za kumbukumbu kutoka kwa Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa
mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya
Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)
Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa
Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani
Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
Baadhi ya Viongozi Wastaafu wa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
cha ngoma za asili cha Kibati kikitumbuiza kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024









.jpg)




No comments