KWA HERI MEJA JENERALI MSTAAFU CHARLES MBUGE KAPUMZIKE KWA AMANI
Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge, enzi za uhai wake
..........................................
Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo October 12,2024
alfajiri akiwa Nchi India alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mbuge amepitia katika nafasi mbalimbali za Uongozi ikiwemo Mkuu wa JKT,
Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkurugenzi wa ldara ya Menejimenti ya Maafa katika Ofisi
ya Waziri Mkuu.
August 02, 2024 Mbuge aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa
zaidi ya miaka 38 na aliagwa kwa kukagua gwaride rasmi la kijeshi katika
Viwanja vya Mgulani (Twalipo Admistration Unit-TAU) Jijini Dar es salaam.
Pumzika kwa amani Meja Jenerali Mbuge.
No comments