Breaking News

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKUTANA NA MAMLAKA YA UDHIBITI WA BIMA TANZANIA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Uongozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania(TIRA) na Makampuni mbali mbali yanayotoa huduma ya Bima kutoka Tanzania Bara na Zanzibar Afisini kwake Vuga Jijiini Unguja.


No comments