CHUO KIKUU CHA MZUMBE CHAMTUNUKU RAIS SAMIA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA KATIKA UONGOZI
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe
Mkoani Morogoro yaliyofanyika katika eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro
tarehe 24 Novemba, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt.Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mahafali hayo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maandamano pamoja na
viongozi wengine wakati wakielekea kwenye eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro
kwa ajili ya sherehe za mahafali hayo.
Maandamano yakifanyika.
Maandamano yakifanyika.
Matukio mbalimbali kwenye Mahafali hayo.
Matukio yakiendelea
Mahafali yakiendelea
No comments