Breaking News

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AZINDUA MKAKATI WA USALAMA BARABARANI ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (katikati) akikata utepe  kitabu  maalum kuashiria uzinduzi wa mkakati wa usalama barabarani Zanzibar katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Kwanza ya Wiki ya Usalama Barabarani  yaliyofanyika katika Ukumbi wa viwanja vya Maonesho Nyamanzi Zanzibar.Kitabu  maalum cha mkakati wa usalama barabarani Zanzibar kikioneshwa baada ya kuzinduliwa  na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.

 

No comments