Breaking News

DKT. NCHIMBI APOKEA TAARIFA YA UOKOAJI WAHANGA WA GHOROFA LILILOANGUKA KARIAKOO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa kuhusu shughuli ya uokoaji watu inayoendelea katika eneo yalipotokea maafa ya ghorofa kubomoka na kuanguka, Kariakoo, jijini Dar Es Salaam, alipofika hapo kushuhudia shughuli hiyo inavyoendelea, Novemba 17, 2024.

No comments