Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni pamoja na
wananchi wengine wakati wa kwenda kupiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye
Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani
Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.
|
No comments