DKT. KIKWETE ASHIRIKI ZOEZI LA UPIGAJI KURA KUCHAGUA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KIJIJINI KWAKE MSOGA
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika foleni tayari kushiriki katika zoezi la upigaji kura wa viongozi
wa serikali za mitaa kijijini kwake Msoga, wilaya ya Bagamoyo jimbo la
Chalinze, mkoa wa Pwani. Mwenye shati la kijani ni Mbunge wa Chalinze na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe
Ridhiwani Kikwete ambaye pia amepiga kura kwenye kituo hicho.Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akishiriki katika zoezi la upigaji kura wa viongozi wa serikali za mitaa
kijijini kwake Msoga, wilaya ya Bagamoyo jimbo la Chalinze, mkoa wa Pwani leo
asubuhi.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanahabari baada ya kushiriki katika zoezi la upigaji kura
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mdogo wake Mohamed Kikwete (kulia kwake) na Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe Ridhiwani Kikwete na mwanakijiji mwenzao akiwa katika nyumba ya babu yake aliyokulia baada ya kushiriki katika zoezi la upigaji kura wa viongozi wa serikali za mitaa kijijini kwake Msoga, wilaya ya Bagamoyo jimbo la Chalinze, mkoa wa Pwani leo asubuhi
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mdogo wake Mohamed Kikwete (kulia kwake) na Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe Ridhiwani Kikwete wakionesha alama ya wino walizowekewa baada ya kushiriki katika zoezi la upigaji kura wa viongozi wa serikali za mitaa kijijini kwake Msoga, wilaya ya Bagamoyo jimbo la Chalinze, mkoa wa Pwani leo asubuhi.










.jpg)




No comments