RAIS SAMIA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya ziara ya kikazi mkoani Arusha, leo
Novemba 27, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatizama Wasanii wa kabila la Masai walipokuwa wakitoa burudani wakati wa mapokezi yake.Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akizungumza wakati wa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
No comments