Breaking News

SIKU YA WANAWAKE WILAYA YA HAI DC AKABIDHI HUNDI HUNDI YA SH. MILIONI 500 VIKUMDI 61

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Hassan Bomboko (katikati) akishiriki maandama na wanawake wa wilaya hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

..........................................

Na Mwandishi Wetu, Hai- Kilimanjaro

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Hassan Bomboko ameungana na wanawake na wananchi wa wilaya hiyo katika Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

Aidha Bomboko amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassani kwa Kuridhia Halmashauri ya Wilaya ya Hai kutenga fedha kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanawake wa wilaya hiyo.

Akikabidhi hundi hiyo kwa vikundi 61 vya wanawake hao Bomboko amewaomba w aendelee kumuunga mkono Rais Samia.

Maandamano yakiendelea.

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Hassan Bomboko akihutubia katika maadhimisho hayo.
 

No comments