Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama
ishara ya kufungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba
cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni,
2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo wakati wa ufunguzi wa kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria
ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji wa pamba cha
MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza
mara baada ya kufungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji wa
pamba
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza
mara baada ya kufungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji wa
pamba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua kiwanda hicho.
RAIS DKT, SAMIA AFUNGUA KIWANDA CHA MOLI OIL MILLS Co. LTD, BARIADI SIMIYU
Reviewed by BLOG
on
June 16, 2025
Rating: 5
No comments