Breaking News

RAIS SAMIA AFUNGUA JENGO LA TRA MKOA WA SIMIYU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025.

Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu ambalo limefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu tarehe 16 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akipata maelezo baada ya kufungua Jengo hilo.

 


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akipata maelezo wakati wa ufunguzi wa jengo hilo.

No comments