RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA TAIFA LA MSUMBIJI KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA JAMHURI YA MSUMBIJI

Matukio mbalimbali kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa Mgeni Rasmi kwa mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.

No comments