Breaking News

RAIS SAMIA ASHIRIKI SIKU YA MASHUJAA UWANJA WA MASHUJAA MITUMBA DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma leo, tarehe 25 Julai, 2025.













 

No comments