RAIS SAMIA AWASILI SONGEA MKOANI RUVUMA KWA UZINDUZI WA MGODI WA UCHIMBAJI WA URANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma tayari kwa Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani Namtumbo leo Julai 30,2025.
Mapokezi yake yakifanyika.
Shamrashamra wakati wa mapokezi yake.
Buradini ikilindima wakati wa mapokezi yake Uwanja wa Ndege wa Songea.
Burudani ya ngoma ya ngoma ya asili ikitolewa wakati wa mapokezi yake.

No comments