Breaking News

RAIS SAMIA AZINDUA MAABARA KUU YA KILIMO

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uzinduzi wa Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba Jijini Dodoma leo tarehe 08 Agosti, 2025.

No comments