DKT. SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI GOMBANI YAKE, CHAKECHAKE ZANZIBAR
Picha za Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na matukio mengine katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar
Mzee Yusuph akitoa burudani kwenye mkutano huo.
Matukio mbalimbali katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu
kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya
Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025.
. Wasanii wa Kikundi cha Wapendanao cha CCM
Mkoa wa Magharibi Zanzibar wakitumbuiza kwenye mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu
za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya
Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025.
Shamra shamra za wananchi wa Wilaya ya Chake Chake Pamoja na vitongoji vya jirani wakati wa mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kisiwani Pemba, katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya
Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025. Taswira ya mkutano huo.
No comments