Breaking News

DKT. SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI MTWARA MJINI


Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kufurahi na wananchi wa Mkoa wa Mtwara mjini kabla ya kuwahutubia katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.

Taswira ya mkutano huoMatukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.Sehemu ya wananchi wa Mtwara mjini waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025. 

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025. 

Shamra shamra za wananchi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.

Shamra shamra za wananchi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.

Ndege ikirusha vipeperushi kwenye mkutano huo.

 Waendesha Baiskeli nao walikuwa bega kwa bega katika mkutano huo.

No comments