Breaking News

DKT. SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI WA NDANDA MKOANI LINDI

. Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 24 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Ndanda, Masasi mkoani Mtwara tarehe 24 Septemba, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 24 Septemba, 2025.

Shamra shamra za wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 24 Septemba, 2025.

Masista wa Mtakatifu Benedicto wa Msaada wa Kikristo Afrika kutoka Ndanda wakimuombea Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 24 Septemba, 2025.

No comments