MGOMBEA URAIS CCM DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA SONGEA
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Songea katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Ruvuma tarehe 22 Septemba, 2025.
Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza katika mkutano huo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, Songea mkoani Ruvuma tarehe 22 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Songea mkoani Ruvuma tarehe 22 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa hadhara na Mgombea Mwenza
Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM,
Songea mkoani Ruvuma tarehe 22 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa hadhara na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, Songea mkoani Ruvuma tarehe 22 Septemba, 2025.
No comments