TUME YAKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU MIKOANI
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akiangalia moja ya masanduku ya kupigia Kura wakati alipotembnelea ghala la vifaa vya Uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa jana. Jaji Mwambegele yupo mkoani humo kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akiangalia taa ambazo hutumika wakati wa kuhesabu kura pindi kituo kikikosa umeme wakati wa Uchaguzi wakati alipotembnelea ghala la vifaa vya Uchaguzi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Mkoani Iringa jana. Jaji Mwambegele yupo mkoani humo kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. (Picha na INEC).

No comments