Breaking News

DKT. SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI JIJINI MWANZA WAKATI AKIFUNGA RASMI KAMPENI ZA CCM

Mgombea Urais CCM Dkt. Samia akiwasalimia viongozi mbalimbali alipokuwa akiwasili Jijini Mwanza kufunga kampeni za chama hicho Oktoba 28, 2025
Mgombea Urais CCM Dkt. Samia akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwasili Jijini Mwanza kufunga kampeni za chama hicho Oktoba 28, 2025
Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Jiji la Mwanza na kufunga Kampeni za CCM. 

Taswira ya mkutano huo wa mwisho wa kampeni za CCM Jijini Mwanza.
Matukio mbalimbali katika mkutano huo.

Sha,rashamra kwenye mkutano huo.


Matukio mbalimbali kwenye mkutano huo.



 

No comments