Breaking News

KILOSA WAFANYA DUA MAALUM.KUOMBEA NCHI AMANI

Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa, Profesa Paramagamba Kabudi akizungumza kwa niaba ya wananchi mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka (kulia) katika dua maalumu la kuiombea nchi amani.
...............................................
Na Mwandishi Wetu, Kilosa

Mkusanyiko wa wananchi wa Wilaya ya  Kilosa katika kisomo cha Dua Maalum ya kuiombea Amani, Utulivu, Upendo na mshikamano nchi yetu Tanzania, sambamba na kumtakia Kheiri, afya njema, na baraka nyingi Rais wetu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,  iliyofanyika katika viwanja vya Masjid Fatma Behewa.

Mhe Paramagamba Kabudi kwa niaba ya wananchi wa Kilosa atoa neno adhimu kwa Mkuu wa Wilaya Shaka Hamdu Shaka.

Dua ikifanyika 

No comments