Breaking News

DKT. FLORENCE SAMIZI SASA RASMI KULITUMIKIA TAIFA BAADA YA KUAPISHWA NA RAIS

Dkt. Florence Samizi akila kiapo cha kuwa Naibu Waziri wa Afya leo Novemba 18, 2025, Ikulu Chamwino Dodoma.

.......................................

Na Dotto Mwaibale, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Mhe. Dkt. Florence Samizi kuwa Naibu Waziri wa Afya leo Novemba 18, 2025, Ikulu Chamwino Dodoma.

Mhe. Dkt. Samizi ni Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma.

No comments