RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa
Tanzania ukiimbwa katika Uwanja wa Amani katika Maadhimisho ya miaka 60 ya
Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari,2024.
Baadhi ya Wakuu wa Nchi waliohudhuria Sherehe
za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja
wa Amani tarehe 12 Januari,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali
waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika
katika uwanja wa Amani tarehe 12 Januari,2024.
Viongozi mbalimbali
waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika
katika uwanja wa Amani tarehe 12 Januari,2024.
Wananchi na wageni
mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya
Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani tarehe 12 Januari,2024.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwapungia
mkono wananchi waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya
Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani tarehe 12 Januari,2024.
PICHA NA IKULU
No comments